- África (5)
- Africa (8)
- Afrika (17)
- Tanzania (17)
- Dar es Salaam (17)
- Tanzania (17)
Ninazalisha na kuuza jamu, kachumbari, kitunguu saumu na mboga za majani kavu. Yote imetengenezwa na mboga mpya/hai na matunda.
P.O. Box 23189
Ninauza samaki wabichi wa maji baridi mfano Sato na Sangara kutoka Mwanza na Musoma (Ziwa Victoria).
P.O. BOX 20950
ILALA
P.O. BOX 20950
Ninauza aina zote za nafaka mfano: mchele, unga wa ugali, maharagwe, kunde, choroko, ngano , lishe , soya, uwele, mtama n.k, vilevile, mafuta ya kupikia, olive oil, spanish, n.k. viungo vya chakula na chai mfano, iriki, kahawa, chai n.k. Mbegu za maboga pamoja na asali.
Ninauza nafaka za jumla na rejaraja za aina tofauti: Mchele, asali, maharagwe, mafuta ya kupikia na mbegu mbalimbali.
Ninauza aina mbalimbali ya nafaka na mbegu. Mfano mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, karanga, unga wa ugali na lishe n.k
ninauza aina mbalimbali ya nafaka na mbegu. Mfano mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, karanga, unga wa ugali na lishe n.k