Orodha ya makampuni ya kilimo cha mazao ya chakula nchini Tanzania na Gine-Bisau ili kukuza biashara yako

Karanga

Displaying companies from all locations.

Use the fields below to filter companies for a particular country, city, or state. Start by selecting the top most region, the other fields will be automatically updated to show available locations.

Use the Clear Filter button if you want to start over.

Amina Korosho

Ninauza korosho za aina tofautitoifati kwa bei ya jumla na rejareja. Unaweza kunipigia simu: +255695672210

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA P.O. BOX 20950

P.O. BOX 20950
Hidaya Spices

Ninauza viungo vyote vya chai na chakula, mbegu za nafaka mfano maboga, karanga na unga wa lishe, mwan, ubuyu na unga wake n.k Kwa mawasiliano: +255782011603

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA
P.O. BOX 20950
NECCA

Ninauza viungo vyote vya chai na chakula,.mbegu za nafaka, vanilla., oats nuts na unga wa lishe n.k Kwa mawasiliano: +255758066969

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA
P.O. BOX 20950
Mama Chambua

Nauza nafaka za lishe, mbegu kama maboga, mahindi, mtama. Pia unaweza kupata kunde kama vile soya na karanga. Tutembelee na upate bidhaa mpya zaidi!

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA

P.O. BOX 20950
Neema Nkini

Ninauza aina zote za nafaka mfano: mchele, unga wa ugali, maharagwe, kunde, choroko, ngano , lishe , soya, uwele, mtama n.k, vilevile, mafuta ya kupikia, olive oil, spanish, n.k. viungo vya chakula na chai mfano, iriki, kahawa, chai n.k. Mbegu za maboga pamoja na asali.

Address
Kisutu Sokoni
P.O. BOX 20950
ILALA

P.O. BOX 20950
Mama Rose

Ninauza nafaka mfano mchele, unga,n.k , viungo, unga wa lishe na chakula, unga wa ngano; sukari na asali

Address
Kisutu Sokoni
P.O. BOX 20950
ILALA

P.O. BOX 20950