Orodha ya makampuni ya kilimo cha mazao ya chakula nchini Tanzania na Gine-Bisau ili kukuza biashara yako

main-home-image

Boresha biashara yako ya kilimo cha mazao ya chakula nchini Tanzania na Gine Bisau!

Tafuta na uungane na makampuni ya kilimo cha mazao ya chakula yanayoongozwa na wanawake.

Unahitaji aina gani ya bidhaa?

Habari

Makampuni yaliyoongezwa hivi karibuni

Muuza mananasi

Ninauza nanasi safi na tunda la passion kwa bei ya jumla na reja reja!

Address
Buguruni Sokoni
Ilala
P.O. Box 20950

P.O. Box 20950
Kinyota Vegetables

Ninauza bidhaa za mbogamboga mfano Dhania, vitunguu, viazi, nazi, njegere, vitunguu swaumu, karoti n.k Unaweza ukanipata kwa kupiga namba hii: +255719208757

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA


P.O. BOX 20950
Aisha Vegetables

Ninauza bidhaa za mbogamboga mfano Dhania, vitunguu, viazi, nazi, njegere, hoho, karoti n.k Unaweza ukanipata kwa kupiga namba hii: +255718242952

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA P.O. BOX 20950

P.O. BOX 20950
Amina Korosho

Ninauza korosho za aina tofautitoifati kwa bei ya jumla na rejareja. Unaweza kunipigia simu: +255695672210

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA P.O. BOX 20950

P.O. BOX 20950
Hidaya Spices

Ninauza viungo vyote vya chai na chakula, mbegu za nafaka mfano maboga, karanga na unga wa lishe, mwan, ubuyu na unga wake n.k Kwa mawasiliano: +255782011603

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA
P.O. BOX 20950
Semeni Egg Company

Ninauza mayai mapya kwa mauzo ya jumla na rejareja. Unaweza kunipigia simu: +255688000128

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA P.O. BOX 20950
P.O. BOX 20950
Nyamiti Egg Company

Ninauza mayai mapya kwa mauzo ya jumla na rejareja. Unaweza kunipigia simu: +255677519224

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA P.O. BOX 20950
P.O. BOX 20950
Amina Eggs Company

Ninauza mayai mapya kwa mauzo ya jumla na rejareja. Unaweza kunipigia simu: +255717752866

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA


P.O. BOX 20950
NECCA

Ninauza viungo vyote vya chai na chakula,.mbegu za nafaka, vanilla., oats nuts na unga wa lishe n.k Kwa mawasiliano: +255758066969

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA
P.O. BOX 20950
Mama Chambua

Nauza nafaka za lishe, mbegu kama maboga, mahindi, mtama. Pia unaweza kupata kunde kama vile soya na karanga. Tutembelee na upate bidhaa mpya zaidi!

Address
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA

P.O. BOX 20950
Tazama kampuni zote
Je, wewe ni mfanyabiashara na mkulima nchini Guinea Bissau, Tanzania au Senegali?

Jisajili kwenye orodha yetu ya kwenye tovuti yenye taarifa mbalimbali na upanue wigo wako!

Je, orodha yetu inakupatia nini?
  • Kuonekana: Kampuni yako itaonekana katika injini yetu tafutizi na kwenye ramani shirikishi, unayoweza kuifikia ukiwa popote nchini Gine-Bisau, Tanzania na Senegali.
  • Mawasiliano: Wateja tarajali wataweza kuwasiliana nawe moja kwa moja kupitia ukurasa wa kampuni yako.
  • Fursa: Kutana na wasambazaji wengine na wateja watarajiwa katika sekta yako.
  • Matangazo: Tangaza bidhaa na huduma zako kwa hadhira pana zaidi.
  • Ukuaji: Ongeza uwezekano wa biashara wa kampuni yako
Kwa nini biashara yako iko kwenye mtandao?
  • Mtandao ni ulimwengu usio na mipaka: Biashara yako inaweza kufikia wateja watarajiwa duniani kote.
  • 24/7: Kampuni yako itapatikana kwa saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki.
  • Gharama ya chini: Kujisajili katika orodha yetu ni bure na ni rahisi.
  • Rahisi kutumia: Huhitaji maarifa ya kiufundi ili kuunda ukurasa wa kampuni yako.
  • Matokeo: Kuongeza mauzo na faida yako.
Rahisi sana. Kwa hatua 3 tu

Je, ninawezaje kuongeza kampuni yangu kwenye orodha?

1

Jaza fomu ya usajili kwa kuweka taarifa za kampuni yako.

2

Tengeneza nywila na uweke baruapepe yako.

3

Tayari! Kampuni yako itakuwa tayari iko kwenye orodha yetu.

Ongeza kampuni

Nyumbani