Orodha ya makampuni ya kilimo cha mazao ya chakula nchini Tanzania na Gine-Bisau ili kukuza biashara yako

Bidhaa za mboga

Displaying companies from all locations.

Tumia sehemu zilizo hapa chini kuchuja kampuni kwa nchi, jiji au jimbo mahususi. Anza kwa kuchagua eneo la juu zaidi, sehemu zingine zitasasishwa kiotomatiki ili kuonesha maeneo yanayopatikana.

Tumia kitufe cha Futa Kichuzio ikiwa unataka kuanza upya.

Kinyota Vegetables

Ninauza bidhaa za mbogamboga mfano Dhania, vitunguu, viazi, nazi, njegere, vitunguu swaumu, karoti n.k Unaweza ukanipata kwa kupiga namba hii: +255719208757

Anwani
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA


P.O. BOX 20950
Aisha Vegetables

Ninauza bidhaa za mbogamboga mfano Dhania, vitunguu, viazi, nazi, njegere, hoho, karoti n.k Unaweza ukanipata kwa kupiga namba hii: +255718242952

Anwani
Kisutu Sokoni P.O. BOX 20950 ILALA P.O. BOX 20950

P.O. BOX 20950
Nanaga Food Products

Ninazalisha na kuuza jamu, kachumbari, kitunguu saumu na mboga za majani kavu. Yote imetengenezwa na mboga mpya/hai na matunda.

Anwani
P.O. Box 23189, Dar es Salaam, Tanzania
P.O. Box 23189